Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa (CHADEMA) Tundu Lissu imesikilizwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku upande wa serikali ukiendelea kuleta hoja kuwa bado upelelezi haujakamilika Saa ...
Kesi ya uhaini dhidi ya Kiongozi wa Upinzani nchini Tanzania inaendelea kusikilizwa jijini Dar es Salamaa. Na Abdalla Seif Dzungu, Beldeen Waliaula na Ambia Hirsi Chanzo cha picha, Getty Images Rais ...
Akijibu hoja zilizoibuliwa, Lissu alisema hukumu ya Mahakama Kuu haijasema moja kwa moja kuwa kesi hiyo isirushwe mubashara, na kwamba tafsiri hiyo ni upotoshaji. Na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, ...
Mvutano waibuka kwenye Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dar es Salaam baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kugoma kuendelea na shauri la uhaini akishinikiza wafuasi wa chama chake waruhusiwe ...
Lissu asema kesi yake inapaswa kusikilizwa hadharani, lakini maafisa wa polisi wamekuwa wakiwazuia wanachama wake kuingia mahakamani. Na Asha Juma Raia wa Malawi wanasubiri kujua rais wao ajaye ni ...
Kesi ya kiongozi wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu imeendelea leo kwa ushahidi kutolewa. Baadhi ya wafuasi wake walikuwepo mahakamani kufuatilia kesi hiyo. Asha Juma & Rashid Abdallah ...
Mawakili wa Kiongozi wa Upinzani nchini Tanzania aliyepo mahabusu, Tundu Lissu jana Ijumaa waliwasilisha malalamiko yao kwa Jopo Kazi la Umoja wa Mataifa wakipinga kuendelea kushikiliwa kwake katika ...
Kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa wa upinzani na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Katika ...